BROSIS PS/LP Teacher

Karibu katika shule ya Brosis

Mimi ni mwalimu ambaye amekuwa tangu jadi nina furaha sana kuwa katika shule hii ambayo ni nzuri sana.

Tumebarikiwa na wanafunzi wengi ambao wana moyo wa kusoma na kuwa viongozi bora katika taifa na mataifa ya kigeni.Vilevile walimu wetu wako na tajriba ya juu katika masomo yao ambayo inawawezesha  kusaidia wanafunzi katika masomo yao na kuwapa  moyo kwamba wasife moyo kwani wao ndio viongozi wa kesho iwapo watatia fora katika masomo na kupita mitihani yao.

Lengo letu kuu katika shule ni kuhakikisha kwamba tunawakuza wanafunzi ambao watakuwa wa msaada kwa maisha ya usoni.Kama vile tumekuwa na wanafunzi bora na ndivyo tutakapohakikisha kuwa wanafunzi wananufaika katika masomo yao.

Ninapomalizia ningependa kumshukuru Mola wetu kwa kutupa pumzi bure pia sitasahau kuwashukuru wale wote ambao wametuunga mkono  kwa kutunufaisha masoma ya watoto wetu kuwa bora na pia kuwakaribisha wote ambao wana moyo wa kusaidia kuungana nasi kwa minajili ya kuboresha maisha ya watoto wetu.

Ahsanteni sana Mungu awabariki sana.

Aswan Mackson

Kiswahili/Hisabati

JLKJLU Brosis/Ngando Community

aswanmackson@gmail.com

+254 (0)703 292 059

BROSIS SCHOOL

Tel. +254 (0)735 362 029 / +254 (0)721 982 794

Follow

Postal Address

P. O. Box 14510-00100

Nairobi, Kenya

Address

Situated left side (Maroon Gate) at the end of  Kenol, Igiria Kirui Rd,

along Ngong Rd. opposite Kwa Wa-china 

2016-18 ©opyright by Brosis Integrated Community Based Organization

BroSis website is managed by BROSIS VOLUNTEERS Bro. GeeSpot, Bro Max, Sis Nelma and Sis Maflor